
Matoke ya Ligi kuu Tanzania bara NBC mzunguko wa 25 kwa mchezo ulioendelea jana Yanga SC imetoka na ushindi wa 3-1 dhidi ya wachimbaji wa Dhahabu, Geita Gold FC kwenye dimba la Azam complex, Chamazi.
Ambapo magoli ya Yanga SC yamefungwa na Kennedy Musonda, Clement Mzize, na goli la tatu likifungwa na Jesuis Moroko dakika za 70 huku goli moja la Geita Gold limefungwa na E. Maguli Dakika za 20.