
Rais wa China Xi Jinping leo march 10 amechaguliwa tena kuwa rais wa China kwa muhula wa tatu, jambo ambalo halijawahi kutokea nchini China, baada ya kura rasmi.
Xi Jinping yuko madarakani kwa miaka kumi, na anatarajia tena kuongoza China kwa miaka mingine mitano.
Kuchaguliwa kwake tena ni kilele cha ongezeko ambalo limemfanya kuwa kiongozi mwenye nguvu zaidi nchini tangu vizazi kadhaa.