fbpx

Watu saba wafariki kwa ajali ya basi Geita

Watu saba wameripotiwa kufariki dunia huku wengine zaidi ya 10 wakijeruhiwa katika ajali ya basi la abiria kampuni ya Sheraton lenye namba za usajili T922 ADC.

Ajali hiyo iliyotokea katika kijiji cha Mwilima Kata ya Kasamwa halmashauri ya mji wa Geita, imetokea jana  Machi 7, 2023 majira ya saa 10:30 jioni na kueleza chanzo cha ajali ni kupasuka kwa tairi ya mbele ya basi hilo.

  • https://cast3.asurahosting.com/proxy/jambocom/stream

Verified by MonsterInsights