fbpx

Watu 87 hufariki kwa kifua kikuu kila siku nchini

Kwa mujibu wa Mratibu wa Kifua Kikuu na Ukoma Jijini Dar es Salaam, Dkt. Mbarouk Seif Khaleif amesema wagonjwa 87 wa kifua kikuu hufariki kila siku kila mwaka Watu 137,000 wanaugua Kifua Kikuu (TB) na wanaofariki ni 32,000 sawa na vifo 87 kila siku.

Mgonjwa mmoja wa Kifua Kikuu ambaye hajagundulika na kuanza Matibabu anaweza kuambukiza Watu 10 hadi 15 kwa mwaka. Wito umetolewa kwa Wananchi kufanya vipimo vya Afya kila wakati.

  • https://cast3.asurahosting.com/proxy/jambocom/stream

Verified by MonsterInsights