fbpx

Watanzania wahamasishwa kutumia nishati safi ya kupikia

Watanzania wamehamasishwa kuongeza nguvu katika matumizi ya nishati safi ya kupikia ili kuondokana na athari mbalimbali zikiwamo za mazingira huku matumizi ya nishati safi ya kupikia yakitajwa kuwa sehemu ya mkakati wa kuendeleza uchumi kuanzia ngazi ya familia na taifa kwa ujumla.

Mwenyekiti wa Shirikisho la Kampuni za gesi nchini Tanzania, Araman Benoite ambaye pia ni Mkurugenzi wa Oryx Gas nchini alipokuwa akizungumza kwenye Kongamano la Kampuni za Gesi Afrika Mashariki linaloendelea jijini humo.

  • https://cast3.asurahosting.com/proxy/jambocom/stream

Verified by MonsterInsights