fbpx

Wasiojulikana watupa mizoga ya mbwa

mizoga ya mbwa

Wakazi wa eneo la Bonde la Mto Kifuru, Daraja la Masister, jijini Dar es Salaam, wamepata taharuki baada ya watu wasiojulikana kutupa mizoga ya wanyama aina ya paka na mbwa kwenye eneo hilo, hali ambayo wamesema inaweza kuwasababishia magonjwa ya mlipuko.

  • https://cast3.asurahosting.com/proxy/jambocom/stream

Verified by MonsterInsights