fbpx

Wanawake waiomba serikali wapewe mikopo ya biashara

Wanawake wafanyabiashara waomba mikopo

Ikiwa leo ni siku ya wanawake baadhi ya wanawake wanaofanya biashara katika eneo la soko kuu hapa mkoani Shinyanga wameiomba serikali iweze kuwapatia huduma mikopo ambayo itawasaidia katika kuendesha biashara zao pamoja na kuinua hali yao ya uchumi.

Wakizungumza na Jambo FM wafanyabiashara hao wamesema kumekua na mikopo ambayo inatolewa kwa kiasi kikubwa imekua haiwafikii walengwa wa biashara hizo hali ambayo inaathiri maendeleo ya biashara zao.

Wanawake wakitoa maoni juu ya mikopo
  • https://cast3.asurahosting.com/proxy/jambocom/stream

Verified by MonsterInsights