Jeshi la polisi mkoani arusha limekamata watu 13 wakiwemo watu wazima saba na watoto sita ambao wamekuwa wakitumikishwa kwa kufanya shughuli za kuomba mtaani ambapo baadhi ya waliokamatwa walikuwa wakiigiza kuwa na ulemavu.