
Takriban wahamiaji 5,000 wanashikiliwa katika vituo rasmi vya vizuizi nchini Libya na wanawakilisha kiwango kidogo tu cha hali halisi mkuu wa shirika la kimataifa la uhamiaji – IOM.
Inasalia kuwa jambo lisilokubalika hata kidogo katika suala la ukiukwaji wa haki za wahamiaji nchini humo.
Chini ya umoja wa mataifa, iom inashirikiana na shirika la wakimbizi la UNHCR kutoa msaada wa kuokoa maisha kwa wahamiaji katika vituo rasmi vya kizuizi.