fbpx

Wachimbaji wadogo walalamikia migogoro ya ardhi Shinyanga

Wachimbaji wadogo

Wachimbaji wadogo pamoja na wananchi wa kitongoji cha Mwakitolyo namba 5 kilichopo wilayani shinyanga, wamemlalamikia mwenyekiti wa kitongoji hicho kwa kusababisha migogoro ya ardhi ya mara kwa mara.

Pia kiongozi huyo amekuwa akiitisha vikao vya siri nyakati za usiku na watu wanaodhaniwa kuwa wanataka kupokonya eneo la mlima wanaotumia kuchimba madini ya dhahabu ambapo wameiomba serikali kuingilia kati mgogoro huo ambao umeanza kuleta vurugu na kuhatarisha amani.

  • https://cast3.asurahosting.com/proxy/jambocom/stream

Verified by MonsterInsights