fbpx

Vikundi vya wanawake kusua sua kurejesha mikopo

Mkuu wa wilaya ya Same, kasilda Mgeniamesema zaidi ya shilingi bilioni 1 zilizokopeshwa kwenye vikundi vya wanawake ikiwa ni mikopo ya 10% ya mapato ya ndani ya halmashauri hiyo yenye lengo la kuviwezesha vikundi hivyo kujikwamua kiuchumi, vimetajwa kusua sua kurejesha mikopo hiyo hali ambayo inadaiwa kukwamisha juhudi za halmashauri hiyo, kuvifikia vikundi vingine vyenye uhitaji.

Mgeni ameyasema hayo wakati akizungumza na wanawake wilayani humo amesema, endapo havitarejesha mikopo hiyo serikali haitasita kuvichukulia hatua.

  • https://cast3.asurahosting.com/proxy/jambocom/stream

Verified by MonsterInsights