fbpx

Uhaba wa mafuta tatizo kwa bodaboda Kenya

bodaboda Kenya

Uhaba na ongezeko la bei ya mafuta nchini Kenya umesababisha changamoto ya ajira kwa vijana wanaotoa huduma za usafiri wa pikipiki maarufu kama “boda boda”.

Baadhi yao wamesema uhaba wa mafuta unawafanya wanunue mafuta kwa bei ya juu wakati wateja wanashindwa kumudu kiwango kikubwa cha nauli wanachotoza, hivyo kusababisha changamoto katika uendeshaji wa biashara hiyo ya bodaboda inayotoa ajira kwa vijana wengi nchini Kenya.

  • https://cast3.asurahosting.com/proxy/jambocom/stream

Verified by MonsterInsights