
Mchezaji namba moja kwa ubora wa Tennis duniani, Novak Djokovic hatoshiriki michuano ya wazi ya Miami kwa kugomea chanjo ya COVID-19.
Djokovic raia wa Serbia hajapata chanjo ya COVID-19 mpaka sasa na kwa mujibu wa sheria ya nchini Marekani, hairuhusu wageni wasipata chanjo kuingia nchini humo, ukomo wa sheria hiyo unafikia mwisho mwezi April.