
Serikali inajiandaa kupokea ndege ya mizigo kati ya ndege tano mpya zikiwemo za abiria.
Mtendaji Mkuu wa wakala wa Ndege za Serikali (TGFA), John Nzulule ameeleza kuwa wamewasiliana na kampuni ya Boeing ya Marekani ikawaeleza kuwa muda wowote kuanzia sasa ndege hiyo itakuwa tayari kukabidhiwa.