fbpx

TANESCO Shinyanga kupata hasara juu ya mgao wa umeme

Shirika la umeme katika mkoa wa Shinyanga TANESCO limesema linapata hasara kubwa kufuatia mgao wa umeme unaoendelea kwa sasa.

Hayo yamesemwa na mhandisi wa shirika la umeme TANESCO mkoa wa Shinyanga, Kulwa Mangala amesema mbali na viwanda na sehemu nyingine kusuasua kwa uzalishaji pia shirika lake linapitia changamoto kubwa ya uzalishaji wa umeme.

Hata hivyo mhandisi mangala amesema juhudu za kurekebisha na kuongeza uzalishaji wa umeme zinaendela katika kanda mbalimbali.

  • https://cast3.asurahosting.com/proxy/jambocom/stream

Verified by MonsterInsights