fbpx

TANAPA yafafanua kifo cha simba ‘Bob Junior’

Simba Bob Junior

Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) limetoa ufafanuzi wa kitaalamu kuhusu kifo cha Simba maarufu aliyefahamika kwa jina la Bob Junior, aliyeuawa na Simba wenzake, katika Hifadhi ya Taifa ya Serengeti.

Kamishna wa Uhifadhi wa TANAPA, William Mwakilema amewaambia Waandishi wa Habari jijini Arusha, kuwa Simba Bob akiwa na ndugu yake aliyefahamika kwa jina la Joel, aliuawa Machi 11 mwaka huu, baada ya kushambuliwa na Simba wengine wanaokadiriwa idadi yao kuwa watatu hadi watano.

  • https://cast3.asurahosting.com/proxy/jambocom/stream

Verified by MonsterInsights