Makamu wa Rais wa Marekani, Kamala Harris anakamilisha ziara yake ya kikazi nchini Tanzania na kuelekea…
Tag: kitaifa
Rais Samia aishukuru Marekani kwa msaada wake
Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ameishukuru serikali ya Marekani kwa msaada wake nchini hasa…
Rais wa Zanzibar akutana na balozi wa Uingereza Ikulu
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi amekutana na Balozi…
Upelelezi wa kesi ya uhujumu ya Sabaya umekamilika
Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya, mkoani Kilimanjaro baada ya kusota kwa siku…
Waziri Mabula atoa maagizo upimaji wa ardhi na kusimamia maeneo
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt. Angelina Mabula amewaagiza wakurugenzi wote wa mamlaka…
Makamu wa rais wa Marekani awasili nchini Tanzania
Makamu wa Rais wa Marekani Kamala Harris amewasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius…
Madaktari bingwa wa MOI watibu wagonjwa 150 Tabora
Jopo la Madaktari bingwa wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI) wamepiga kambi katika hospitali…
Rais Samia aunda kamati ya kutathmini utendaji kazi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ameunda Kamati kwa ajili ya…
Chuo cha SAUT chawafutia shahada ya udaktari wahitimu 162
Chuo Kikuu cha St. Augustine of Tanzania (SAUT) kimefuta shahada za udaktari kwa wahitimu 162 waliohitimu…
Rais Samia atunukiwa tuzo maalumu ya uhuru wa Habari
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ametunukiwa tuzo maalumu ya juhudi…