fbpx

Makamu wa rais Marekani kukamilisha ziara Tanzania

Makamu wa Rais wa Marekani, Kamala Harris anakamilisha ziara yake ya kikazi nchini Tanzania na kuelekea…

Watu 35 wafariki kwa kufunikwa na kisima Hekaluni India

Takriban watu 35 wamefariki baada ya kutumbukia kwenye kisima walipokuwa wakisali kwenye hekalu moja katika jimbo…

Herve Renard aajiriwa kuwa meneja timu ya wanawake Ufaransa

Baada ya kujiuzulu nafasi yake kama kocha mkuu wa timu ya Taifa Saudi Arabia, mkufunzi Herve…

Marekani kuleta intaneti bei nafuu Tanzania

Serikali ya Marekani kupitia Idara ya Biashara na Maendeleo ya Marekani imesema itasaidia kupanua upatikanaji wa…

Uganda yasema itatuma wanajeshi kuilinda Moscow

Mtoto wa kiume wa Rais wa Uganda Yoweri Museveni Jenerali Muhoozi Kainerugaba ametangaza kuwa¬† nchi yake…

CAF yathibitisha tarehe ya ufunguzi wa fainali AFCON 2023

Shirikisho la soka Afrika CAF limethibitisha kuwa michuano ya kombe la Mataifa Afrika AFCON 2023 itaanza…

Ahukumiwa jela miaka 30 kwa kubaka mtoto wake

Mtu mmoja anaefahamika kwa jina la Tizo Mwita (38) kwa jina maarufu Fadhili Mtete mkazi wa…

Rais Samia aishukuru Marekani kwa msaada wake

Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ameishukuru serikali ya Marekani kwa msaada wake nchini hasa…

Afya ya Papa Francis yazidi kuimarika hospitalini

Afya ya Papa Francisko inazidi kuimarika baada ya kufikishwa hospitalini akiwa na hali iliyoonyesha matatizo ya…

Timu ya Simba SC yawasili Casablanca – Morocco

Kikosi cha Simba SC kimewasili salama mjini Casablanca nchini Morocco tayari kwa mchezo wa mwisho wa…

  • https://cast3.asurahosting.com/proxy/jambocom/stream

Verified by MonsterInsights