fbpx

Tabora: Amuua mke wake na kumfukia chumbani

shimo chumbani alimofukiwa mke

Mwanamke mmoja aliyefahamika kwa jina la Salima Maulid mkazi wa Mtaa wa Mbilani Kata ya Kidogo Chekundu Manispaa ya Tabora, ameuawa na mtu anayedaiwa kuwa ni mumewe kisha mwili wake kufukiwa chumbani, chini ya uvungu wa kitanda.

Tayari mwili wa marehemu umefukuliwa na Jeshi la Polisi limetangaza kumsaka mtuhumiwa wa mauaji hayo, ambaye alitoweka kusikojulikana baada ya kutekeleza tukio hilo.

  • https://cast3.asurahosting.com/proxy/jambocom/stream

Verified by MonsterInsights