fbpx

Ronaldo atoa msaada kwa waathirika wa tetemeko

Kufuatia matetemeko ya ardhi yaliyosababisha vifo vya Zaidi ya watu 44,000 nchini Uturuki na Syria mwezi uliopita, mshambuliaji wa Al Nassr, Cristiano Ronaldo ametuma msaada Katika maeneo yaliyoathiriwa na maafa hayo.

Ronaldo amelipa Mahema, vifurushi vya chakula, mito na blanketi, vitanda, chakula cha Watoto, maziwa na vifaa vya matibabu ili kusaidia juhudi za kibinadamu.

  • https://cast3.asurahosting.com/proxy/jambocom/stream

Verified by MonsterInsights