fbpx

Raia 2643 wa Kongo waingia Kigoma kuomba hifadhi

Wakimbizi Kongo

Raia 2643 wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo (DRC), wameingia mkoani Kigoma katika makundi makubwa wakiomba hifadhi ya ukimbizi wakieleza kukimbia mapigano nchini mwao.

Mkurugenzi wa Idara ya wakimbizi ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Sudi Mwakibasi, amesema kuwa waomba hifadhi hao walianza kuingia nchini kuanzia Machi tano mwaka huu.

  • https://cast3.asurahosting.com/proxy/jambocom/stream

Verified by MonsterInsights