fbpx

Noti za Naira kuendelea kutumika: Benki kuu Nigeria

Noti za naira

Benki kuu nchini Nigeria imeongeza muda wa kutumika kwa noti za zamani baada ya hatua ya kutumia noti mpya kusababisha uhaba wa fedha, na kulazimisha baadhi ya biashara kufungwa, na kuwafanya mamilioni ya watu nchini humo, kutoweza kutoa fedha kutoka benki.

Tangazo hilo limetolewa likiruhusu noti za zamani za Naira 200, 500 na 1,000 kuendelea kutumika hadi desemba 31 msemaji wa benki kuu, Isa Abdulmumin amesema kuwa hatua hiyo imekusudiwa kufuata agizo la mahakama ya juu, iliyoamuru kuwa uzinduzi wa programu hiyo ulikuwa kinyume cha sheria.

  • https://cast3.asurahosting.com/proxy/jambocom/stream

Verified by MonsterInsights