
Matokeo ya mabigwa barani ulaya UEFA kwa michezo miwili iliyoendelea hapo jana Ambapo Napoli imetoka na ushindi wa 3-0 mbele ya Eintracht Frankfurt kwenye dimba la Stadio Diego Armando Maradona.
Na mchezo wa mwisho uliochezwa saa 5:00 usiku Real Madrid imefunga bao 1-0 dhidi ya Liverpool kwenye uwanja wa Estadio Sanntiago Bernabeu.