fbpx

Nahodha wa Simba Queen ajiunga na Beskitas ya Uturuki

Opah Clement

Aliyekuwa mshambuliaji wa Simba Queens, Opah Clement leo Jumatano anatarajiwa kutambulishwa rasmi kwa mashabiki wa klabu ya Beskitas inayoshiriki Ligi Kuu Uturuki. Opah aliondoka nchini jana Jumanne (Machi 07) majira ya alfajiri na kwenda moja kwa moja Uturuki kwa ajili ya kukamilisha dili hilo la kujiunga na klabu hiyo.

Opah hadi anaondoka nchini alikuwa anaitumikia klabu ya Simba Queens na ameondoka akiwa ndiye kinara wa mabao kwenye Ligi Kuu ya Wanawake akiwa na mabao tisa.

  • https://cast3.asurahosting.com/proxy/jambocom/stream

Verified by MonsterInsights