Mwanaume mmoja aliyetambulika kwa jina la Hamis Pius mwenye umri wa miaka 41 mkazi wa Nyigamba jijini Mbeya amefariki dunia kwa kuungua moto baada ya kumwaga mafuta ya petrol kuzunguka nyumba yake na kisha kuiunguza akiwa amelala ndani na mkewe.