
Staa wa Amapiano kutoka Afrika Kusini Costa Titch amepoteza maisha usiku wa jana March 11 akianguka jukwaani wakati wa Tamasha la Ultra Afrika Kusini kwenye ukumbi wa Expo Center huko Johannesburg.
Costa Titch amepoteza maisha akiwa na umri wa miaka 27 tu, ni mmoja wa mastaa wa Amapiano waliokuwa wanafanya vizuri kwa sasa Afrika Kusini.