fbpx

Mwanamfalme wa Saudi Arabia atangaza shirika jipya la ndege

Mohammad Bin Salman Bin Abdulaziz

Mwana wa mfalme wa Saudi Arabia, Mohammad Bin Salman Bin Abdulaziz ametangaza mpango wa nchi hiyo kuanzisha shirika jipya la ndege la taifa hilo linalotarajiwa kuitwa Riyadh Air.

Shirika hilo linatarajiwa kusafirisha watu kimataifa na kufikia maeneo 100 ifikapo mwaka 2030. Pia shirika hilo linawapatia nafasi watalii kutoka sehemu mbalimbali duniani kuitembelea Saudi Arabia kujionea vivutio vya kitamaduni na kiasili huku likiongeza nguvu kwenye sekta ya uchukuzi ikiwemo usafirishaji wa mizigo.

  • https://cast3.asurahosting.com/proxy/jambocom/stream

Verified by MonsterInsights