fbpx

Muhoozi atangaza kuchukua kiti cha urais Uganda

Muhoozi Kainerugaba

Mtoto wa Rais wa Uganda Yoweri Museveni, Muhoozi Kainerugaba ametangaza nia ya kutaka kumrithi Baba yake kwenye kiti cha Urais wa Uganda ambapo amesema atagombea Urais wa nchi hyo mwaka 2026.

Akiandika kupitia mitandao yake amesema nikinukuu¬† “kwa jina la Vijana wa Uganda na Dunia kwa ujumla na katika jina la Mapinduzi makubwa nitagombea Urais mwaka 2026”
“Fidel Castro Shujaa wangu alikuwa Rais akiwa na umri wa miaka 32, ninakaribia kufikia miaka 49, sio sawa kabisa (Kutokuwa Rais), Vijana wanapaswa kuwa Marais wa Mataifa yao”

  • https://cast3.asurahosting.com/proxy/jambocom/stream

Verified by MonsterInsights