fbpx

Morocco yathibitisha kuungana Kombe la dunia 2030

Morocco yaungana na Uhispania na Ureno

Mfalme Mohammed VI wa Morocco ametangaza kuwa nchi yake imejiunga na ombi la Uhispania na Ureno kuandaa Kombe la Dunia la mwaka 2030.

Mfalme Mohammed VI ametoa tangazo hilo katika ujumbe alioutoa wakati akitangazwa mshindi wa Tuzo ya Ubora ya Shirikisho la Soka la Afrika 2022 mjini Kigali, ambako shirikisho la soka duniani FIFA linafanya kongamano lake la kila mwaka.

  • https://cast3.asurahosting.com/proxy/jambocom/stream

Verified by MonsterInsights