
Mchezaji soka wa Ghana Christian Atsu, ambaye alifariki baada ya tetemeko la ardhi kuikumba Uturuki kuzikwa leo Ijumaa katika nchi yake ya asili Ghana.
Atsu alipatikana akiwa amefariki baada ya tetemeko la ardhi kuangusha nyumba ya ghorofa ambamo alikuwa anaishi kusini mwa Uturuki . Alikuwa akiichezea klabu ya soka ya Hatayspor.