fbpx

Makampuni ya ulinzi yatakiwa kuboresha maslahi ya wafanyakazi

Mkurugenzi wa Huduma za Uangalizi na Vifungo Mbadala, Aloyce Musika, kwa niaba ya Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi Hamad Masauni amesema Serikali imeyataka makampuni binafsi ya ulinzi hapa nchini, kuboresha maslahi ya wafanyakazi wao.

Hii inasaidia kuwaepusha wafanyakazi hao kushawishika kirahisi na watu wenye nia ovu wanaoweza kuwarubuni na kuchukua silaha hizo na kwenda kufanyia vitendo vya kihalifu

  • https://cast3.asurahosting.com/proxy/jambocom/stream

Verified by MonsterInsights