
Leo ni siku ya maadhimisho ya siku ya wanawake duniani, mkoa wa Shinyanga maadhimisho hayo kimkoa yamefanyika wilaya ya Kishapu katika viwanja vya shule ya sekondari Mwamashele yakipokelewa na mgeni rasmi mkuu wa wilaya ya kishapu Joseph Mkude kwa niaba ya Mkuu wa mkoa wa Shinyanga Christina Mdeme
Vikundi mbalimbali vya wanawake wajasiriamali wamejitokeza kuonesha bidhaa zao jambo FM itaendelea kukufahamisha matukio yote yanayoendelea kwenye maadhimisho hayo.