
Ligi kuu nchini Uingereza EPL kuendelea tena hii leo kwa michezo miwili ambapo Brighton Hove Albion itakuwa mwenyeji wa Crystal Palace saa 4 :00 usiku kwenye dimba la The American Express Community Stadium.
Na mchezo wa mwisho utachezwa saa 4:30 usiku Southmpton kuikaribisha Brentford kwenye uwanja wa St Mary’s Stadium.