fbpx

Kumbukizi ya tukio la kijiji cha Mwakata (sehemu ya 2)

Miaka 7 iliyopita, tukio la kushangaza lilitokea katika kijiji cha Mwakata, mkoani Shinyanga. Hadi leo, wananchi wa kijiji hicho hawajasahau na huishi kwa hofu kwamba tukio hilo litatokea tena. Kipi kiliwasibu?

Sikiliza hadi mwisho kujua Zaidi.

  • https://cast3.asurahosting.com/proxy/jambocom/stream

Verified by MonsterInsights