fbpx

Korea kaskazini yathibitisha kurusha makombora mawili

Makombora

Korea Kaskazini imethibitisha kurusha makombora mawili ambayo kama sehemu ya mazoezi yaliyoundwa kutoa mafunzo kwa vitengo vya kijeshi kufanya kuwa tayari wakati wowote kuangamiza adui ikiwa itahitajika.

Mapema leo Jumatano Shirika la habari la serikali KCNA lilielezea na kuongeza kuwa makombora hayo mawili yalirushwa kutoka karibu na pwani ya magharibi katika mkoa wa Hwanghae Kusini, na kuruka takriban kilomita 611 kabla ya kulenga kisiwa kidogo karibu na pwani yake ya kaskazini mashariki.

  • https://cast3.asurahosting.com/proxy/jambocom/stream

Verified by MonsterInsights