fbpx

India: Alazimishwa kuuza damu yake ya hedhi

Mwanamke Mmoja Nchini India Ametoa Madai Ya Kushangaza Kwamba Baba Mkwe Alimlazimisha Kuuza Damu Yake ya Hedhi.
Kulingana Na Malalamiko Yaliyowasilishwa Na Mwanamke Huyo Mwenye Umri Wa Miaka 28 Katika Kituo Cha Polisi Cha Vishrantwadi Huko Pune, Wakwe Zake Walimlazimisha Kwanza Kuuza Damu Ya Hedhi Mnamo Agosti 2022.
Tangu Wakati Huo, Mume Wake Na Wakwe Walikuwa Wakimtesa Kimwili Na Kiakili Kila Mara.
Kulingana Na Malalamiko Yaliyowasilishwa Machi 7, 2023, ni Dhidi Ya Mume Wa Mwanamke Huyo Na Wakwe Saba.
Kulingana Na Inspekta Wa Kituo Cha Polisi Cha Vishrantwadi Dattatray Bhapkar, Mwanamke Huyo Aliolewa Mwaka Wa 2019.
Mwanamke Huyo Aliwasilisha Malalamishi Ya Unyanyasaji Wa Nyumbani Katika Mahakama Mwaka Wa 2021.
Hata Hivyo, Aliondoa Kesi Hiyo Baada Ya Kushawishiwa Na Mama Mkwe Na Mumewe.

  • https://cast3.asurahosting.com/proxy/jambocom/stream

Verified by MonsterInsights