
Mtu mmoja amefariki dunia na wengine sita kujeruhiwa vibaya na Fisi katika mtaa wa Bugosi wilayani Tarime mkoani Mara.
Baadhi ya majeruhi ambao wanapatiwa matibabu katika hospitali ya halmashauri ya Tarime wanaelezea tukio hilo. Majeruhi mkuu wa wilaya ya Tarime, Michael Mtenjele amethibitisha uwepo wa tukio hilo.
Michael Mtenjele kwa upande wake kaimu katibu wa hospitali ya mji wa Tarime, Moris Paschal amedhibitisha kupokea majeruhi hao na hapa anaelezea hali zao.