fbpx

Dola zaadimika benki za biashara Kenya

Benki za biashara za Kenya zinakabiliwa na upungufu wa dola za Marekani huku baadhi ya waagizaji bidhaa katika nchi hiyo ya Afrika mashariki wakikimbilia Tanzania na nchi nyingine jirani kufanikisha biashara zao.

Upungufu huo umekuwa kikwazo kwa watengenezaji na waagizaji wa bidhaa za jumla kutimiza majukumu yao.

Kufuatia uhaba wa dola na ili kulinda akiba, benki kuu ya Kenya (CBK) imeamuru benki za biashara kuzuia idadi ya dola zinazotoa.

  • https://cast3.asurahosting.com/proxy/jambocom/stream

Verified by MonsterInsights