fbpx

Clifford Mario Ndimbo, Ofisa Habari mpya hatua ya makundi CAF

Ofisa Habari na mawasiliano wa shirikisho la soka nchini TFF, Clifford Mario Ndimbo  ameteuliwa na CAF kuwa Ofisa Habari wa mchezo wa hatua ya makundi ligi ya mabingwa Afrika Simba SC Tanzania vs Vipers ya Uganda utakaochezwa machi 7, 2023 uwanja wa Benjamini Mkapa, Dar es Salaam.

  • https://cast3.asurahosting.com/proxy/jambocom/stream

Verified by MonsterInsights