fbpx

Clatous Chama kuwania tuzo za mchezaji bora

Clatous Chama

Kiungo mshambuliaji wa Simba, Clatous Chama ameingia katika kuwania tuzo ya mchezaji bora wa wiki hatua ya makundi ligi ya mabingwa Afrika katika mzunguko wa nne.

Katika hatua hiyo Chama aliifungia Simba bao 1-0 dhidi ya Vipers na kuwa kwenye kiwango bora, wengine watatu ni Peter Shalulile wa Mamelod Sundowns ya Afrika kusini,  Ahmed Zizzo kutoka Zamaleck ya Misri na Walid Sabbar wa Raja Casablanca ya Morroco

  • https://cast3.asurahosting.com/proxy/jambocom/stream

Verified by MonsterInsights