Raia wa Marekani na mwandishi wa Wall Street Journal Evan Gershkovich amezuiliwa nchini Urusi kwa tuhuma…
Category: Yanayojiri
Mwanamke ahukumiwa kwa kuiba mtoto mchanga
Mahakama ya wilaya ya Sengerema imemhukumu kifungo cha miaka miwili gerezani Happiness William mwenye umri wa…
Kivuko cha Ufilipino chawaka moto na kuua watu 12
Gavana wa mkoa wa kisiwa cha Basilan nchini ufilipino Jim Hataman amesema kivuko kilichokuwa kimebeba takribani…
Waasi wa ELN waua wanajeshi tisa wa Colombia
Shambulio la kundi la waasi la nchini Colombia linalojulikana kama National Liberation Army (ELN) limeripotiwa kuwaua…
Mtalii wa Urusi afukuzwa Indonesia baada ya kuvua nguo mlimani
Mwanaume mmoja raia wa Urusi anatarajia kurudishwa kwao kutoka Indonesia baada ya kuvua nguo zote akiwa…
Viungo vya albino vyaibiwa makaburini Msumbiji
Wezi wa makaburini wamechukua sehemu ya miili ya marehemu albino magharibi mwa Msumbiji baada ya kuchimba…
Wahamiaji 39 wameuawa kwa moto ofisi za uhamiaji Mexico
Takriban watu 39 wamefariki dunia na wengine 29 kujeruhiwa katika moto uliozuka kituo cha wahamiaji katika…
Mpanda: Watu wawili wahukumiwa kunyongwa kwa kosa la kuua
Mahakama kuu kanda ya Sumbawanga iliyoketi Mpanda mkoani Katavi imewahukumu adhabu ya kunyongwa hadi kufa watu…
Mafuriko yaua watu 14 Somalia
Watu 14 wakiwemo watatu wa familia moja wamefariki kutokana na mafuriko yaliyotokea katika mji wa Baardhere…
Marekani: Mwanafunzi aua watu sita kwa risasi shuleni
Watu sita wakiwemo watoto watatu na wafanyakazi watatu wameuawa kwa kupigwa risasi na mwanafunzi wa zamani…