fbpx

Marekani kuleta intaneti bei nafuu Tanzania

Serikali ya Marekani kupitia Idara ya Biashara na Maendeleo ya Marekani imesema itasaidia kupanua upatikanaji wa…

TANAPA watakiwa kutangaza vivutio vya utalii Kimataifa

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Anderson Mutatembwa amelitaka Shirika la Hifadhi za…

China na Brazil zafikia makubaliano ya kuondoa dola

China na Brazil zimefikia makubaliano ya kufanya biashara kwa sarafu zao wenyewe, na kuacha dola ya…

Sri Lanka yatangaza kupunguzwa kwa bei ya mafuta

Serikali ya Sri Lanka imetangaza kupunguzwa kwa bei ya mafuta, kutoa afueni baada ya mwaka mmoja…

Mvua yakwamisha safari za treni mikoa sita

Shirika la Reli Tanzania (TRC) limesitisha safari zake katika mikoa sita hapa nchini kutokana na mvua…

Wakulima Kigoma kujengewa uwezo kilimo biashara

Shirika la umoja wa mataifa la mpango wa chakula duniani (WFP) kwa kushirikiana na shirika la…

Wawekezaji wa Afrika kusini wakutana na wizara ya madini Tanzania

Ujumbe wa wawekezaji zaidi ya 30 kutoka Afrika ya Kusini, wamekutana na wizara ya madini pamoja…

Kampuni ya NALA yapewa leseni ya biashara na BOT

Kampuni ya Kitanzania inayotoa huduma ya malipo kwa njia ya kieletroniki, NALA, imepewa leseni na Benki…

Wachimbaji wadogo wa madini watakiwa kuwajibika

Waziri wa madini Dkt. Dotto Biteko amewataka wachimbaji wadogo na wafanyabiashara wa madini nchini kuacha kulalamika…

Pass yaanzisha Pass Leasing ili kupanua wigo wa huduma

Taasisi ya kusaidia sekta binafsi ya kilimo iitwayo pass Trust imeanzisha Kampuni tanzu iitwayo Pass Leasing ili…

  • https://cast3.asurahosting.com/proxy/jambocom/stream

Verified by MonsterInsights