fbpx

Blinken atangaza msaada wa dola mil. 331 Ethiopia

Waziri wa mambo ya nje wa Marekani, Antony Blinken ametangaza msaada mpya wa kibinaadamu wa dola milioni 331 kwa Ethiopia wakati wa ziara yake mjini Addis Ababa iliyolenga kuboresha uhusiano wa Marekani na nchi hiyo ya Afrika Mashariki.

Msaada huo ulitangazwa hadharani wakati Blinken alipozuru ghala la Umoja wa Mataifa la kuhifadhi vifaa katika mji mkuu wa Ethiopia jana Jumatano baada ya kukutana na viongozi wa nchi hiyo. Waziri Mkuu wa Ethiopia Abiy Ahmed na Waziri wa Mambo ya Nje Demeke Mekonnen.

Waziri Mkuu wa Ethiopia akutana pia na viongozi wa Tigray kwa mara ya kwanza tangu makubaliano ya amani

  • https://cast3.asurahosting.com/proxy/jambocom/stream

Verified by MonsterInsights