fbpx

Bilioni 42 zatengwa kwa mradi wa meli ziwa Viktoria

Serikali imetenga zaidi ya shilingi Bilioni 42 kwa ajili ya ukarabati na ujenzi wa meli katika ziwa Viktoria, ili kuongeza tija ya utoaji huduma za usafiri wa majini kwa watu na mali zao.

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Huduma za Meli Tanzania (MSCL) Eric Hamisi ametoa taarifa hiyo wakati akielezea mafanikio ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan madarakani kwa mkoa wa Mwanza.

  • https://cast3.asurahosting.com/proxy/jambocom/stream

Verified by MonsterInsights