Kikosi cha Simba SC kimewasili salama mjini Casablanca nchini Morocco tayari kwa mchezo wa mwisho wa…
Author: Jambo FM
Geita: Adaiwa kuuawa kwa kupigwa na polisi
Wananchi wa Kata ya Mganza wilayani Chato mkoani Geita, wamelazimika kuchoma kituo cha Polisi kwenye Kata…
Rais wa Zanzibar akutana na balozi wa Uingereza Ikulu
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi amekutana na Balozi…
Mwanafunzi afariki dunia kwa ajali Mwanza
Mwanafunzi wa kidato cha pili katika Shule ya sekondari Nyamilama, Fadhili Maghembe amefariki dunia huku wanafunzi…
Upelelezi wa kesi ya uhujumu ya Sabaya umekamilika
Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya, mkoani Kilimanjaro baada ya kusota kwa siku…
Fisi ajeruhi watu 10 na kuua Ng’ombe mmoja
Watu 10 katika Kijiji cha Nyamalimbe Kata ya Nyamalimbe Wilayani Geita Mkoani Geita, wamejeruhiwa na Mnyama…
Australia: Makampuni yatakiwa kufichua pengo la malipo ya kijinsia
Australia ilipitisha sheria inayohitaji makampuni yenye wafanyakazi zaidi ya 100 kuchapisha pengo lao la malipo ya…
Urusi inamshikilia mwandishi wa Marekani kwa ujasusi
Raia wa Marekani na mwandishi wa Wall Street Journal Evan Gershkovich amezuiliwa nchini Urusi kwa tuhuma…
Odinga azionya nchi zinazoingilia maandamano ya Kenya
Kinara wa upinzani nchini Kenya, Raila Odinga, amesisitiza maandamano ya leo kufanyika kama ilivyopangwa, huku akizikosoa nchi…
Mwanamke ahukumiwa kwa kuiba mtoto mchanga
Mahakama ya wilaya ya Sengerema imemhukumu kifungo cha miaka miwili gerezani Happiness William mwenye umri wa…