
Watu 9 wamefariki dunia na wengine 30 kujeruhiwa katika ajali ya basi iliyotokea katika mlima mkali wa Nkondwe, wilayani Tanganyika mkoani Katavi.
Akithibitisha tukio hilo mkuu wa mkoa wa Katavi Mwanamvua Mrindoko ameeleza kuwa gari la tata kampuni ya komba lilipinduka na kudondokea bondeni