fbpx

Aendesha gari la mtu kwa bahati mbaya kutumia programu

Mwanaume mmoja anasema amefungua na kuendesha gari la Tesla la mtu mwingine akitumia programu kwenye simu yake mwenyewe.

Alisema alidhani alikuwa akiingia kwenye tesla yake kwani gari lilikuwa na umbo moja na rangi sawa. Ni mpaka alipokuwa akiendesha ndipo alipogundua kuwa kuna kitu hakikuwa sawa.

Alipokwenda kuchukua gari alisema alikuwa na haraka kwani alilazimika kuwachukua watoto wake shuleni hivyo akafikiri alifungua gari lake.

  • https://cast3.asurahosting.com/proxy/jambocom/stream

Verified by MonsterInsights