Kitaifa
Michezo
Herve Renard aajiriwa kuwa meneja timu ya wanawake Ufaransa
Baada ya kujiuzulu nafasi yake kama kocha mkuu wa timu ya Taifa Saudi Arabia, mkufunzi Herve Renard amethibitishwa kama kocha mkuu wa timu ya taifa ya wanawake ya Ufaransa kwa…
Kiuchumi
Marekani kuleta intaneti bei nafuu Tanzania
Serikali ya Marekani kupitia Idara ya Biashara na Maendeleo ya Marekani imesema itasaidia kupanua upatikanaji wa huduma za mawasiliano ya intaneti kwa gharama nafuu kwa maelfu ya watu katika Nchi…
Burudani
Balozi wa Urusi na Dkt. Chana waahidi ushirikiano sekta ya Utamaduni
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Balozi Dkt. Pindi Chana jijini Dar es Salaam amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Urusi nchini Tanzania, Andrey Levonovich Avetisyan ambapo katika mazungumzo…
Makamu wa Rais Marekani ataja nyimbo zake pendwa za Afrika
Makamu wa Rais wa Marekani Kamala Harris ametoa Spotify playlits yake ya nyimbo 25 za Wasanii wa Afrika ambazo anazikubali ambayo ameipa jina la “Safari Zangu: Ghana, Tanzania na Zambia”,…